Monday, October 17, 2016

TAARIFA KWA WANA DAMBWE NA WALE WOTE WAPENZI WA DAMBWE LA HIP HOP

#MATOKEO_YA_FIKRA_CHANYA.
NI MUDA MREFU UMEPITA MBAGALA IMEKUWA IKIDHARAULIKA SANA KUWA HAKUNA HARAKATI,NA KAMA ZIKITOKEA HARAKATI HAZIWEZI KUENDELEA.KABLA YA #KHIKHO_MBANTU KUTUUNGANISHA WANA KWENYE JOINT MOJA YA MBAGALA NA #BAD_FACE KUTUUNGANISHA KWENYE JOINT NYINGINE ILIYOITWA #BAD_LIFE, NYIMBO ZILIZOLETA HAMASA KUBWA SANA KWENYE MITAA YA MBAGALA, WASHIKAJI WENGI SANA WALIKUWA WANATAMANI KUONA MBAGALA IKIUNGANA,IKISIMAMA NA KUTOA MA MC WAKALI KWENYE RAMANI YA HIP HOP.MUNGU AKABARIKI MBAGALA IKAUNGANA NA KUUNDA UMOJA UNAOITWA #DAMBWE_LA_HIP_HOP NA KWA KIASI FULANI KUNA HATUA ZILIZOPIGWA.HESHIMA KWA WANACHAMA WOTE NA MA MC WA DAMBWE LA HIP HOP,Anosang Sang, Criss Ivan, Nyenzo Killanja, Jumah Issa, Inaks Soja, Element Midundo, Mwinja MCee, Emily Philipo, Erick Mlelwa, T Dawaa Rajabu Mikingi, SaLim Dogo, Syla Dallars, Aswart Mbegu Mbaya, Omary Ockxavell, Ponda Mcee, Campagnyaro Zulqannain, Hassan Tipwi. HESHIMA KWA WADAU KAMA Troo Illy Filly Funk,Abby Mp,Nash Mc Zuzu,Pizzo Dady,Sevento G Prod, Geof Mastery, Suma Skillz,Abdallah Mtinika,NA WENGINE WOTE WANAOSAPOTI KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE KUHAKIKISHA HARAKATI HIZI ZINAFIKA SEHEMU HUSIKA.LAKINI KUNA TAARIFA NASIKIA ZINAENEA KWENYE MITAA YETU YA HUKU MBAGALA ZINANISIKITISHA SANA,NASIKIA BAADHI YA WATU WAKIWEMO BAADHI YA MA MC WENGINE WA MBAGALA WANALALAMIKA KUWA #DAMBWE LINAWATENGA,WAGENI WAMEKUWA WENGI KULIKO WENYEJI,MARA VILE MARA HIVI HATA SIELEWI!!!!.IMEFIKIA HATUA WATU WA MBAGALA WENGINE RAFIKI ZETU TUNAWAJUA WANASHINDWA KUSAPOTI HARAKATI ZA DAMBWE LA HIP HOP MITANDAONI NA SEHEMU NYINGINEZO.INASIKITISHA SANA IKIWA WOTE TUNATOKEA MBAGALA,AU MNATAKA TURUDI KWENYE ZILE DHARAU TULIZOKUWA TUNALETEWA MWANZO NA TUACHANE NA HESHIMA NDOGO TUNAYOPEWA SASA HIVI.KUMBUKENI SAFARI BADO NI NDEFU SANA NA HUU NI MWANZO TU.HAKUNA ALIYEWAHI KUTENGWA WALA KUFUKUZWA NA DAMBWE, WENGI WALIKAA NJE YA MCHEZO WENYEWE ILA NAFASI ZAO BADO ZIPO,WANAKARIBISHWA TENA,HATA WAGENI PIA.DAMBWE LINAENDESHWA KWA TARATIBU,KANUNI,SHERIA NA KATIBA TULIYONAYO.KILA MWANACHAMA ANATAKIWA AHUDHURIE VIKAO NA ATEKELEZE WAJIBU WAKE.WOTE TUNA HAKI SAWA TUKIWA DAMBWENI.HUU SIO MUDA WA KULALAMIKA WASHIKAJI,NI MUDA WA KUUNGANA KUHAKIKISHA TUNASAPOTI HIZI HARAKATI ZIFIKE MBALI BILA KUJALI TOFAUTI ZETU SABABU SISI WOTE NI WATOTO WA MBAGALA.UMOJA NI NGUVU,UTENGANO NI UDHAIFU...

Big up to ANNO SANG FOR THIS MASSAGE

Friday, October 7, 2016

DOWNLOAD SONGS KUTOKA KWA NDEVU MOJA KATI YA ICON ZA DAMBWE LA HIP HOP

 CRISS IVAN A.K.A NDEVU MC ni moja kati zile icon ambazo zinawakilisha Dambwe La Hip Hop popote wanapokwenda.Na hizi ni moja kati ya nyimbo zake  kama wewe unapenda Hip Hop sikiliza na pakua nyimbo hizi kwa kufungua hii link http://www.audiomack.com/song/ngomuo16-emcee/best-rapper#.V_Vibm
















http://www.audiomack.com/song/ngomuo16-emcee/best-rapper#.V_VibmsL69E.facebook